Serekali ya wanafunzi chuo cha udsm
Kupitia waziri wake wa mikopo
walianza kufuatilia tatizo lamikopo baada ya wanafunzi 12,000 kupata miongoni mwawanafunzi 70,000
Viongozi hao wa udsm walikutana nakufanya kikao na ma officer wa body ya mikopo na kuwalalamikia ni kwanini watoe mikopo kwa wanafunzi wa chache namna hiyo, je hao wengine hawana vigezo?, ma officer wa body ya mikopo walitoa jibu kuwa idadi walio pitisha nakuipeleka katika wizara ya elimu ni 58,000 ya wanafunzi wanao stahili kupata mkopo,
Viongozi hawa walikwenda moja kwa moja kwenye wizara ya elimu napo hawakupata majibu ya kutosha na kuamua kwenda hazina na kuwauliza kwanini hawajatoa mkopo kwa wanafunzi wote kama ilinyo pitishwa na body , hazina walisema ela ilikuwa tatizo kwani ili idadi hiyo ipate ni shiling 134billion zinaitajika,
Baada yakikao icho chamuda mrefu taarifa kutoka serekali ya wanafunzi udsm inasema makubaliano yalikuwa kwamba idadi ya wanfunzi wote 58000 watapewa mkopo ndani ya massa 48 namakubaliano haya yalifanyika tareh 06/011/2015
Jumamosi, 7 Novemba 2015
Serekali ya wanafunzi udsm inataarifa zote kuusu sintofahamu ya mikopo kwaajili ya wanafunzi wa mwaka wakwanza 2015/2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni