Ijumaa, 6 Novemba 2015

Hichi ndicho kili cho mkuta kijana aliye kuwa akitamani tamani kila msichana anaye muone instagram

Kijama mmoja jina tume lihifathi amekutwa na kisa chakukutana na jini lilo vaa sura ya binti mrembo, punde alivyo kutana na bint huyo alibadilika na kuwa jini ten joka,

Kijana huyo amelia sana na amesema kisa icho anaomba kiwe mfano kwa vijana wote ,ambao ni macho juu  kwakila wanaemuona istagram,amefanikiwa kunusurika baada ya wachungaji na mashehe kufika katika eneo latukio na kumuombea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni