Jumatatu, 9 Novemba 2015
Jumamosi, 7 Novemba 2015
Kayumba juma mshindi wa bss afunguka
Mshindi huyo asema kuwa anasumbuliwa na
Mwiba wa kuwa stare kwani alisha zoea kupuyanga kitaani ila kwasasa kila akifanya ivyo wanamshangaa
Pia adai kuwa anasumbuliwa sana na wasichana wakimuita yeye ni handsome na kumtaka kimapenzi
Hivi ndivyo alivyo funguka
Full time chelse ya pigwa 1 bila
Chelse imemaliza mchezo wake ambao unazidi kuwa umiza vichwa wapenzi wa timu hiyo kwakuchezea 1 bila,timu hiyo ilishuka uwanjani bila cocha morinyo aliye fungiwa kwa utavu wanizamu, dalili hizi zakupoteza match hii zinaonuesha cocha wa chelse huenda akafukuzwa
Baada ya tetesi zakutumika kwa uchawi katika match t.p mazembe wafanya hichi
Timu hii ya congo inasemekana yaingia uwanjani na mashabiki waliovalia na kujiweka katika hali ya kutisha nakuashiria dalili za ushirikina watakao tumia ili wawezekushinda kila match
Kama picha inavyo jieleza apo chini
Serekali ya wanafunzi udsm inataarifa zote kuusu sintofahamu ya mikopo kwaajili ya wanafunzi wa mwaka wakwanza 2015/2016
Serekali ya wanafunzi chuo cha udsm
Kupitia waziri wake wa mikopo
walianza kufuatilia tatizo lamikopo baada ya wanafunzi 12,000 kupata miongoni mwawanafunzi 70,000
Viongozi hao wa udsm walikutana nakufanya kikao na ma officer wa body ya mikopo na kuwalalamikia ni kwanini watoe mikopo kwa wanafunzi wa chache namna hiyo, je hao wengine hawana vigezo?, ma officer wa body ya mikopo walitoa jibu kuwa idadi walio pitisha nakuipeleka katika wizara ya elimu ni 58,000 ya wanafunzi wanao stahili kupata mkopo,
Viongozi hawa walikwenda moja kwa moja kwenye wizara ya elimu napo hawakupata majibu ya kutosha na kuamua kwenda hazina na kuwauliza kwanini hawajatoa mkopo kwa wanafunzi wote kama ilinyo pitishwa na body , hazina walisema ela ilikuwa tatizo kwani ili idadi hiyo ipate ni shiling 134billion zinaitajika,
Baada yakikao icho chamuda mrefu taarifa kutoka serekali ya wanafunzi udsm inasema makubaliano yalikuwa kwamba idadi ya wanfunzi wote 58000 watapewa mkopo ndani ya massa 48 namakubaliano haya yalifanyika tareh 06/011/2015
Baada ya tajiri mkubwa tanzania kuitaka kuimiliki timu ya simba mohamed dewge , kumeonekana kuna ukimia mkubwa ....
Tajiri huyo mwenye nia ya kuiboresha timu ya simba kwa thati inasemakana bado haja pata majibu ya kurizisha ili ashike kijiti cha kuongoza simba katika mafanikio makubwa
Tunafanya jitiada zamakusudi natutawajuza wasomaji wetu wote pale habari zitakapo kuwa rasmi
Jeshi la polis lawashikilia mahafisa wa sheria na haki za binadamu kwa hatia ya kuvuka mipaka ya kazi zao wakati wauchaguzi
Mahafisa hao wanashikiliwa ,na baada ya maojiano ya hawamu ya pili huenda watachukuliwa atu jeshi la polisi lime dai walivunja sheria kwa kusambaza matoke katika mitandao ya kijamii
Habari kamil ipo kwenye picha
Hapo chini
Ijumaa, 6 Novemba 2015
Riz one kikwete kaonekana kuwakashfu watu wakaskazini kwa kuwaita majizi katika ukurasa wake wa facebook
Mtoto wa mh raisi mstaafu kaandika ujumbe ulio wauzi wantanzania wenzake, pale alipo dai kuwa watu wakaskazini, hawawezi kupata madaraka kwa sababu ni majizi hii kauli imeonekana kuwaumiza watu na jamii kwa ujumla ,nakauli hii imeonekana nikama kauli ya kuwa gawa wantanzania ki geography,angali kwa makini comment za watu walivyo lumbana apo chini katika kumjibu riz one
Raper 50 cent na rick rozy watupiana maneno ya kashfa na matusi katika mitandao ya kijamii ...
Kufuati rap rick rozy kukusudia kutoa album yake mpya dec 4 mwaka huu itakayo kwenda kwa jina la black market ,rap 50 cent katupia picha ya kumuonyesha rick rozy ana matiti makubwa kama mwanamke pamoja naku comment matusi ya kumtukana rozy,ila rozy alijibu kama inavyo onekana hapo kwwnye picha na mashabiki nao walifunguka kama inavyoonekana hapo chini
Raisi wa tanzania joseph pombe magufuli afanya ziara ya kushtukiza mchana huu katika ofis za hazina
Mh rais wa hawamu ya tano amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za hazina zilizopo pembezone mwajengo la ikulu na kukutana nahali ya kutokuwepo kwawafanyakazi wengi katika offic zao
Mh rais amejione hali ya wafanya kazi wake walivyo kuwa wazembe katika shuguli za kulijenga taifa bado tunafuatili tujue ata chukua atu gani
Hakika MH raisi ameanza kazi
KAMA ALIVYO SEMA HAPA KAZI TU
Hichi ndicho kili cho mkuta kijana aliye kuwa akitamani tamani kila msichana anaye muone instagram
Kijama mmoja jina tume lihifathi amekutwa na kisa chakukutana na jini lilo vaa sura ya binti mrembo, punde alivyo kutana na bint huyo alibadilika na kuwa jini ten joka,
Kijana huyo amelia sana na amesema kisa icho anaomba kiwe mfano kwa vijana wote ,ambao ni macho juu kwakila wanaemuona istagram,amefanikiwa kunusurika baada ya wachungaji na mashehe kufika katika eneo latukio na kumuombea
Hapakazi tuu majambazi waingia kazini baada ya magufuli kuapishwa na kuwashambulia madereva kwa mapanga
Usiku wakuamkia leo majambazi washambulia madereva wa malori, uko tunduma mkoani mbeya na kuwa jerui vibaya san,
Mpaka sasa tunafuatilia ili kukupa abari ya tamko la jesh la ulinzi na hatima ya ujangili huu