tanganyika
Jumatatu, 9 Novemba 2015
Jumamosi, 7 Novemba 2015
Kayumba juma mshindi wa bss afunguka
Mshindi huyo asema kuwa anasumbuliwa na
Mwiba wa kuwa stare kwani alisha zoea kupuyanga kitaani ila kwasasa kila akifanya ivyo wanamshangaa
Pia adai kuwa anasumbuliwa sana na wasichana wakimuita yeye ni handsome na kumtaka kimapenzi
Hivi ndivyo alivyo funguka
Full time chelse ya pigwa 1 bila
Chelse imemaliza mchezo wake ambao unazidi kuwa umiza vichwa wapenzi wa timu hiyo kwakuchezea 1 bila,timu hiyo ilishuka uwanjani bila cocha morinyo aliye fungiwa kwa utavu wanizamu, dalili hizi zakupoteza match hii zinaonuesha cocha wa chelse huenda akafukuzwa
Baada ya tetesi zakutumika kwa uchawi katika match t.p mazembe wafanya hichi
Timu hii ya congo inasemekana yaingia uwanjani na mashabiki waliovalia na kujiweka katika hali ya kutisha nakuashiria dalili za ushirikina watakao tumia ili wawezekushinda kila match
Kama picha inavyo jieleza apo chini
Serekali ya wanafunzi udsm inataarifa zote kuusu sintofahamu ya mikopo kwaajili ya wanafunzi wa mwaka wakwanza 2015/2016
Serekali ya wanafunzi chuo cha udsm
Kupitia waziri wake wa mikopo
walianza kufuatilia tatizo lamikopo baada ya wanafunzi 12,000 kupata miongoni mwawanafunzi 70,000
Viongozi hao wa udsm walikutana nakufanya kikao na ma officer wa body ya mikopo na kuwalalamikia ni kwanini watoe mikopo kwa wanafunzi wa chache namna hiyo, je hao wengine hawana vigezo?, ma officer wa body ya mikopo walitoa jibu kuwa idadi walio pitisha nakuipeleka katika wizara ya elimu ni 58,000 ya wanafunzi wanao stahili kupata mkopo,
Viongozi hawa walikwenda moja kwa moja kwenye wizara ya elimu napo hawakupata majibu ya kutosha na kuamua kwenda hazina na kuwauliza kwanini hawajatoa mkopo kwa wanafunzi wote kama ilinyo pitishwa na body , hazina walisema ela ilikuwa tatizo kwani ili idadi hiyo ipate ni shiling 134billion zinaitajika,
Baada yakikao icho chamuda mrefu taarifa kutoka serekali ya wanafunzi udsm inasema makubaliano yalikuwa kwamba idadi ya wanfunzi wote 58000 watapewa mkopo ndani ya massa 48 namakubaliano haya yalifanyika tareh 06/011/2015
Baada ya tajiri mkubwa tanzania kuitaka kuimiliki timu ya simba mohamed dewge , kumeonekana kuna ukimia mkubwa ....
Tajiri huyo mwenye nia ya kuiboresha timu ya simba kwa thati inasemakana bado haja pata majibu ya kurizisha ili ashike kijiti cha kuongoza simba katika mafanikio makubwa
Tunafanya jitiada zamakusudi natutawajuza wasomaji wetu wote pale habari zitakapo kuwa rasmi